Wapi naweza kupata bidhaa za Mkonge?

Bidhaa za mkonge huzalishwa na Kiwanda cha Sisalana Cordage, Amboni Spinning Mill, na Tanga Spinning Mill ambavyo vyote vipo Tanga; TPM (1998) Ltd kilichopo Morogoro; na Ubena Spinning Mill kilichopo katika Mkoa wa Pwani. Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa kwa mkonge pia hupatikana kupitia wajasiriamali wadogo wanaotengeneza bidhaa za mikono, ambazo huuzwa katika masoko mbalimbali.

Taasisi Shirikishi