Bidhaa za Mkonge

Mkonge huzalisha bidhaa mbalimbali kama;

  • Singa za Mkonge
  • Nyuzi za Mkonge
  • Kamba za Mkonge
  • Mvinyo wa Mkonge
  • Asali ya Mkonge
  • Bidaa za kufumwa kama Mazulia, Virago, Vikapu, Mikoba, Magunia, Kitambaa msasa, Samani za ndani na nje ya nyumba kama viti, meza, vitanda n.k
  • Biadhaa za mapambo mbalimbali kama fremu za picha za ukutani, hereni, kawa n.k
Taasisi Shirikishi