Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Mkonge huanzwa kuvuna baada ya miaka mitatu( 3) hadi mika kumi (10)
Maeneo makuu yanayotumika  kwa ajili ya usafirishaji wa nyuzi za Mkonge ni  kupitia bandari ya  Dar es Salaam na Tanga. Pamoja  mipaka ya Horohoro, Namanga na  Rusumo 
Mikoa inayolima na kuzalisha mkonge nchini Tanzania ni Tanga, Morogoro, Kilimanjaro, Simiyu, Shinyanga, Singida, Arusha, Dodoma, Geita, Mara, Manyara, Lindi, Mtwara, Tabora, Pwani na Mwanza.  
Bidhaa za mkonge huzalishwa na Kiwanda cha Sisalana Cordage, Amboni Spinning Mill, na Tanga Spinning Mill ambavyo vyote vipo Tanga; TPM (1998) Ltd kilichopo Morogoro; na Ubena Spinning Mill kilichopo katika Mkoa wa Pwani. Bidhaa mbalimbali zilizotengenezwa kwa mkonge pia hupatikana kupitia waja...
Bidhaa mbalimbali zinatengenezwa kwa kutumia nyuzi za mkonge kama; kamba na nyuzi, mikeke na mazulia,  Mikoba na vikapu, Magunia ya kuhifadhia mazao, viti vya kupumzikia, gypsum boards, mapambo ya ukutani, mapambo ya makabati, bao wa kurusha vishale (dartboard), n.k
Ili kusafirisha nyuzi za mkonge kutoka Tanzania, unapaswa kujiandikisha kupitia tovuti rasmi ya Wizara ya Kilimo https://portal.kilimo.go.tz. Baada ya usajili, omba leseni ya mfanyabiashara wa mkonge, kisha uombe leseni ya kusafirisha mkonge nje ya nchi kwa kuambatisha leseni ya biashara. Ni lazima...
Mbegu za mkonge zinapatikana TARI Mlingano au kwa wakulima wengine kupitia vitalu vya miche, na pia kutoka mashamba jirani kwa kupata vikonyo au maotea.
Ofisi za Makao Mkuu ya Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) zinapatikana Tanga, katika Jengo la Mkonge  Barabara ya Uhuru/ Usagara.  
Taxpayer Identification Number (TIN) or National Identification Number 
Registration is completed via the website www.atmis.kilimo.go.tz
Taasisi Shirikishi
Hakimiliki ©2025 Bodi ya Mkonge Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.