Mikoa gani unaweza kulima Mkonge?

Mikoa inayolima na kuzalisha mkonge nchini Tanzania ni Tanga, Morogoro, Kilimanjaro, Simiyu, Shinyanga, Singida, Arusha, Dodoma, Geita, Mara, Manyara, Lindi, Mtwara, Tabora, Pwani na Mwanza.

 

Taasisi Shirikishi
Hakimiliki ©2026 Bodi ya Mkonge Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.