Ni maeneo gani yanayotumika kama njia kuu za usafirishaji wa nyuzi za Mkonge nje ya nchi?

Maeneo makuu yanayotumika  kwa ajili ya usafirishaji wa nyuzi za Mkonge ni  kupitia bandari ya  Dar es Salaam na Tanga. Pamoja  mipaka ya Horohoro, Namanga na  Rusumo 

Taasisi Shirikishi