Bidhaa zipi zinazotengenezwa kwa kutumia Mkonge?
Bidhaa zipi zinazotengenezwa kwa kutumia Mkonge?
Bidhaa mablimbali zinatengenezwa kwa kutumia nyuzi za mkonge kama; kamba na nyuzi, mikeke na mazulia, Mikoba na vikapu, Magunia ya kuhifadhia mazao, bao wa kurusha vishale (dartboard), Vitambaa vya kuzuia mmomonyoko wa ardhi (geotextiles)n.k








