MKURUGENZI MKUU TSB AHUDUMIA WATEJA NANENANE
MKURUGENZI MKUU TSB AHUDUMIA WATEJA NANENANE
Imewekwa: 17 Sep, 2024
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), Saddy Kambona akiwahudumia wateja waliofika katika Banda la TSB katika Maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma








