Bunge lapitisha Marekebisho Sheria nne za Kilimo

28 Aug, 2026

Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Kilimo wa Mwaka 2026 (The Agricultural Laws Amendments Act, 2026) ambao unapendekeza  marekebisho katika sheria nne. Muswada huo umepitishwa  katika Kikao cha Pili cha Mkutano wa nne wa Bunge la 13, kilichofanyika tarehe 27 Agosti 2026, jijini Dodoma.

Sheria hizo ni Sheria ya Tasnia ya Mkonge, Sura ya 30; Sheria ya Usalama wa Chakula, Sura ya 249; Sheria ya Tasnia ya Sukari, Sura ya 251; na Sheria ya Tasnia ya Chai, Sura ya 275

Taasisi Shirikishi
Hakimiliki ©2026 Bodi ya Mkonge Tanzania. Haki zote zimehifadhiwa.