Salamu za Pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuondokewa na Mume wake..
Salamu za Pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuondokewa na Mume wake..
10 Sep, 2026
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) Tunatoa pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuondokewa na Mume wake Mhe. Hafidh Ameir Hassan.