Salamu za Pongezi kwa Mhe. Deogratius John Ndejembi kwa Kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Salamu za Pongezi kwa Mhe. Deogratius John Ndejembi kwa Kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
31 Aug, 2026
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Bodi ya Mkonge Tanzania(TSB) tunakupongeza Mhe. Deogratius John Ndejembi, kwa kuteuliwa na kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.