Mazoezi ya Michezo  viwanja vya Usagara kwa Watumishi wote wa TSB 
                    
                
            
        
                        Mazoezi ya Michezo  viwanja vya Usagara kwa Watumishi wote wa TSB 
                    
                
                            
                                 28 Jan, 2025
                            
                
            Wanamichezo wote wa TSB wanataarifiwa kuwa mazoezi ya michezo mbalimbali yatakua yakifanyika kila siku ya Jumatatu,Jumanne na Ijumaa katika viwanja vya Usagara kuanzia saa 9: 30 Alasiri hadi saa 12:00 jioni.
 
                                 
                                








 
             
             
             
             
             
            