WAZIRI BASHE AKIANGALIA BIDHAA ZA MKONGE BBT TANGA
WAZIRI BASHE AKIANGALIA BIDHAA ZA MKONGE BBT TANGA
Imewekwa: 29 Oct, 2024
Waziri wa Kilimo, Mh. Hussein Bashe (katikati) akiangalia bidhaa zinazozalishwa na Mkonge kabla ya kuzindua Kituo Atamizi cha Mkonge BBT Tanga kinachosimamiwa na Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Japhari Kubecha na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TSB, Saddy Kambona.








